Jumatatu, 28 Novemba 2016

SIKU YA USAFI YA KIWILAYA JUMAMOSI


Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ileje akiwapongeza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wiaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya, Wakuu wa Idara na vitengo na wananchi kwa ujumla kwa kujitokeza kushiriki zoezi zima la kufanya usafi katika mji wa Isongole.

Mh. Mkuu wa Wilaya ameagiza kwa watumishi na wananchi wote kwa ujumla kuhakikisha kila siku ya jumamosi ya kila wiki wanafanya usafi wa mazingira wanayoishi na maeneo yao ya biashara kuanzia saa moja asubuhi hadi saa nne na mara baada ya muda huo, shughuli za kawaida ziendelee.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni