Jumatatu, 23 Januari 2017

KANISA LA UWATA ISONGOLE WAPATA GARI

 Maandamano barabarani wakifurahia watazamaji wakidhani ni harusi
 Wakitoa gari lililokuwa limetunzwa kwa mmoja wa waumini wa UWATA
 UWATA wakiwa barabarani kuelekea kwenye jengo lao
 Jengo la zamani la Tawi la UWATA la Isongole-Ileje
Jengo jipya la UWATA la Isongole-Ileje

Maoni 1 :

  1. Naona mambo si mabaya kwa hao wana uwata isongole mungu azidi kua nao

    JibuFuta