MKUU WA WILAYA ILEJE. MALALAMIKO KWA MKUU WA SHULE YA SECONDARY ILEJE KWA NINI HUYU MKUU WA SHULE AKISAFIRI ANAONDOKA NA OFISI?? WATOTO WANATOKA MIKOANI KUFATA CHETI AKIWA KASAFIRI UNAPASWA UKAE ILEJE HADI ARUDI WAKATI MAKAMU MKUU WA SHULE YUPO NA NDIE KAIMU MKUU WA SHULE.
HALAFU NI AJABU ANAONEKANA HAJUI MAJUKUMU YAKE HIYO NI SHULE YA SERIKALI SI YABINAFSI. MIMI MZAZI ZUHURA MUYINGA .0655395401
MKUU WA WILAYA ILEJE.
JibuFutaMALALAMIKO KWA MKUU WA SHULE YA SECONDARY ILEJE
KWA NINI HUYU MKUU WA SHULE AKISAFIRI ANAONDOKA NA OFISI?? WATOTO WANATOKA MIKOANI KUFATA CHETI AKIWA KASAFIRI UNAPASWA UKAE ILEJE HADI ARUDI WAKATI MAKAMU MKUU WA SHULE YUPO NA NDIE KAIMU MKUU WA SHULE.
HALAFU NI AJABU ANAONEKANA HAJUI MAJUKUMU YAKE HIYO NI SHULE YA SERIKALI SI YABINAFSI.
MIMI MZAZI ZUHURA MUYINGA .0655395401